Bidhaa bora zinazopatikana kila mahali kwa bei nafuu kabisa.
Furahia bidhaa asilia zisizoongezewa kemikali na zenye ladha nzuri
Tutakufikishia bidhaa yako popote ulipo kwa gharama nafuu
Furahia bidhaa zenye virutubisho vyote muhimu kwa ajili ya afya yako
Tamu lishe ni unga bora wa uji wenye virutubisho muhimu ambavyo husaidia ukuaji wa ubongo, huimarisha mifupa,huongeza hamu…
Kahawa bora kabisa iliyotengenezwa kwa kahawa asilia ya viwango vya ubora uliotukuka, na ndio maana tunasema Tamu Coffee…
Unga wa Tamu Sembe ni unga bora kabisa wa mahindi, unaondaliwa kwa ustadi mkubwa, kufungashwa na kusambazwa na…
Unga wa Tamu Ngano ni unga bora unaotokana na Ngano safi asilia inayozalishwa, kuandaliwa na kufungashwa kwa ustadi…
Tamu Sukari ni sukari asili na halisi ya miwa, sukari hii inaandaliwa na kufungashwa na wazalishaji na wasambazaji…
Tamu Mchele ni mchele wa Mbeya, mchele bora na mtamu unaoandaliwa na kusambazwa na Tamu Industries, kwa mahitaji…
Bidhaa, asilia, bora na zinazopatikana katika maduka nchini kote na kupitia tovuti kwa bei nafuu! Unasubiri nini.
Top producers and suppliers of quality and affordable food products in Tanzania.
Phone 1: +255 762 425 605
Phone 2: + 255 678 038 570
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
Nimependa unga wenu wa lishe ni mtamu na unavirutubisho vya kutosha.
Your products are superb! Bigup kwa products nzuri.