Tamu Coffee
Kahawa bora kabisa iliyotengenezwa kwa kahawa asilia ya viwango vya ubora uliotukuka, na ndio maana tunasema Tamu Coffee ni Premium Organic Gourmet,
Tamu Sembe
Unga wa Tamu Sembe ni unga bora kabisa wa mahindi, unaondaliwa kwa ustadi mkubwa, kufungashwa na kusambazwa na waandaaji na wasambazaji mahiri wa bidhaa za nafaka Tanzania, Tamu Industries.
Tamu Ngano
Unga wa Tamu Ngano ni unga bora unaotokana na Ngano safi asilia inayozalishwa, kuandaliwa na kufungashwa kwa ustadi mkubwa. Tamu Ngano ni unga wenye ladha ambao unaweza kutumia kutengenezea bidhaa zote za ngano.

