ts5_62465031
ts5_62465031ts5_1507401056ts5_893943071

Tamu Sembe 5KG

6 500,00 TZS each
1 300,00 TZS / kg

Unga wa Tamu Sembe ni unga bora kabisa wa mahindi, unaondaliwa kwa ustadi mkubwa, kufungashwa na kusambazwa na waandaaji na wasambazaji mahiri wa bidhaa za nafaka Tanzania, Tamu Industries.

Unga wa Tamu Sembe ni unga bora kabisa wa mahindi, unaondaliwa kwa ustadi mkubwa, kufungashwa na kusambazwa na waa ...

Read more

No stock
Product Description

Unga wa Tamu Sembe ni unga bora kabisa wa mahindi, unaondaliwa kwa ustadi mkubwa, kufungashwa na kusambazwa na waandaaji na wasambazaji mahiri wa bidhaa za nafaka Tanzania, Tamu Industries.

Unga wa Tamu Sembe ni unga bora kabisa wa mahindi, unaondaliwa kwa ustadi mkubwa, kufungashwa na kusambazwa na waandaaji na wasambazaji mahiri wa bidhaa za nafaka Tanzania, Tamu Industries. Unga wetu hauongeewi virutubisho bali ni unga asili wa mahindi, unaoandaliwa, kwa kusaga na kukobolewa na mashine za kisasa. Ubora wa unga wa Tamu Sembe unaandaliwa kwa ubora ili kukidhi mahitaji ya mlaji.

Product Reviews
List of the comments:
No comments have been posted yet.
Write a Review
Vote:

Give your advice about this item:

Username:
E-mail: