Tamu lishe ni unga bora wa uji wenye virutubisho muhimu ambavyo husaidia ukuaji wa ubongo, huimarisha mifupa,huongeza hamu ya kula huongeza uzito,na kuimarisha kinga ya mwili.
MCHANGANYIKO
Unga wa Tamu Lishe ni mchanganyiko wa:
- Mahindi Lishe
- Soya
- Karanga
- Ulezi
- Mbegu zaMaboga
UJAZO
Tamu lLishe inapatiakana katika ujazo wa
1kg
5kg
Unaweza jipatia Tamu Lishe madukani popote Tanzania, kwa mawakala wetu au kupitia tovuti hii, nasi tutahakikisha tunakufikishia bidhaa popote ulipo.