Majibu ya Maulizo
Naweza kununua bidhaa kupitia website hii?
Ndio! Bofya SHOP ili uweze kununua bodhaa yoyote kwenye website hii na ukaletewa bidhaa mahali popote ulipo.
Naweza kulipia baada ya kupokea bidhaa?
Ndio! Unaweza kulipia baada ya kupokea bidhaa yako na kujiridhisha usahihi wa bidhaa na kiwango au idadi.
Naweza kuwa wakala?
Ndio! Unaweza kuwa wakala wa bidhaa zetu mahali popote ulipo. Utauziwa bidhaa kwa bei ya jumla nawe utauza kwa bei ya rejareja elekezi
Majibu ya Maulizo
Naweza kurudisha bidhaa?
Hapana! Baada ya kununua bidhaa hautaruhusiwa kurudisha bidhaa hiyo, hivyo mteja unashauriwa kuhakiki bidhaa yako kabla hujaweka oda.
Delivery ni BURE?
Hapana! Utalipia delivery kutokana na umbali na mahali ulipo.
Mna branch mikoani?
Hapana! Makao makuu yetu yapo Dar es Salaam