Tamu Coffee
Kahawa bora kabisa iliyotengenezwa kwa kahawa asilia ya viwango vya ubora uliotukuka, na ndio maana tunasema Tamu Coffee ni Premium Organic Gourmet,
Tamu Sembe
Unga wa Tamu Sembe ni unga bora kabisa wa mahindi, unaondaliwa kwa ustadi mkubwa, kufungashwa na kusambazwa na waandaaji na wasambazaji mahiri wa bidhaa za nafaka Tanzania, Tamu Industries.
Tamu Sukari
Tamu Sukari ni sukari asili na halisi ya miwa, sukari hii inaandaliwa na kufungashwa na wazalishaji na wasambazaji bora kabisa wa bidhaa bora za nafaka, Tamu Industries.
Tamu Mchele
Tamu Mchele ni mchele wa Mbeya, mchele bora na mtamu unaoandaliwa na kusambazwa na Tamu Industries, kwa mahitaji yako ya mchele Tamu Mchele ni chaguo lako namba moja.