Tamu Mchele ni mchele wa Mbeya, mchele bora na mtamu unaoandaliwa na kusambazwa na Tamu Industries, mchele wa Tamu ni mchele rahisi kupika na una ladha nzuri, kwa mahitaji yako ya mchele Tamu Mchele ni chaguo lako namba moja.
MCHANGANYIKO
Tamu mchele ni mchele asilia kutoka Mbeya, Mchele wa Tamu, haujaongezwa virutubisho wala kuchanganywa na kemikali zozote, hivyo mtumiaji atapata ladha halisi ya mchele.
UJAZO
Tamu mchele upo katika ujazo tofauti tofauti wa:
- 1kg
- 5kg
- 25kg
Unaweza jipatia Tamu Mchele madukani popote Tanzania, kwa mawakala wetu au kupitia tovuti hii, nasi tutahakikisha tunakufikishia bidhaa popote ulipo.