Kahawa bora kabisa iliyotengenezwa kwa kahawa asilia ya viwango vya ubora uliotukuka, na ndio maana tunasema Tamu Coffee ni Premium Organic Gourmet. Tamu Coffee inaandaliwa na kusambazwa na Tamu Industries Tanzania, wazalishaji na wauzaji wa bidhaa za nafaka.
MCHANGANYIKO
Kahawa yetu ni kahawa ambayo haijachanganywa na kitu chochote, ni kahawa ya asili kwa aslimia mia moja (100%), Kahawa hii huchumwa, kuhifadhiwa kitaalamu na kufungashwa katika vifungashio bora kwa kuzingatia kanuni zote za usafi na ubora ili kutunza thamani halisi ya kahawa yetu.
UJAZO
Kahawa ya Tamu Coffee inapatikana katika ujazo tofauti tofauti wa:
- 100mg
- 500mg
- 1kg
- 2kg
Unaweza jipatia Tamu Coffee madukani popote Tanzania, kwa mawakala wetu au kupitia tovuti hii, nasi tutahakikisha tunakufikishia bidhaa popote ulipo.