Unga wa Tamu Sembe ni unga bora kabisa wa mahindi, unaondaliwa kwa ustadi mkubwa, kufungashwa na kusambazwa na waandaaji na wasambazaji mahiri wa bidhaa za nafaka Tanzania, Tamu Industries. Unga wetu hauongeewi virutubisho bali ni unga asili wa mahindi, unaoandaliwa, kwa kusaga na kukobolewa na mashine za kisasa. Ubora wa unga wa Tamu Sembe unaandaliwa kwa ubora ili kukidhi mahitaji ya mlaji.
MCHANGANYIKO
Unga wa Tamu Sembe hauna mchanganyiko wowote ni unga wa asili wa mahindi, ambao haujaongezwa kemikali wala virutubisho ili kuhakikisha mtumiaji anapata ladha asili.
UJAZO
Unga wa Tamu Sembe, unapatikana katika ujazo tofauti tofauti wa:
- 1kg
- 5kg
- 25kg
Unaweza jipatia Tamu Sembe madukani popote Tanzania, kwa mawakala wetu au kupitia tovuti hii, nasi tutahakikisha tunakufikishia bidhaa popote ulipo.