Unga wa Tamu Ngano ni unga bora unaotokana na Ngano safi asilia inayozalishwa, kuandaliwa na kufungashwa kwa ustadi mkubwa. Tamu Ngano ni unga wenye ladha ambao unaweza kutumia kutengenezea bidhaa zote za ngano. Tamu ngano inawez kutumika kutengenezea:
- Chapati
- Maandazi
- Mikate
- Na bites za kila aina
MCHANGANYIKO
Tamu Ngano inatengenezwa kwa ngano asilia ni unga mzuri ambao hauchanganywi na kemikali wala virutubisho vya ziada ili kumpatia mtumiaji ladha halisi ya ngano.
UJAZO
Tamu Ngano inapatikana katika ujazo tofauti tofauti wa:
- 1kg
- 5kg
- 25kg
Unaweza jipatia Tamu Ngano madukani popote Tanzania, kwa mawakala wetu au kupitia tovuti hii, nasi tutahakikisha tunakufikishia bidhaa popote ulipo.