Tamu Sukari ni sukari asili na halisi ya miwa, sukari hii inaandaliwa na kufungashwa na wazalishaji na wasambazaji bora kabisa wa bidhaa bora za nafaka, Tamu Industries. Sukari ya Tamu imeandaliwa kwa kuzingatia viwango vyote vya ubora na inaweza kutumika katika matumizi mbalimbali kama kwa ajili ya chai, kutengenezea keki, vinywaji vitamu na hata kwa ajili ya matumizi kadha wa kadha ya viwandani na majumbani.
MCHANGANYIKO
Tamu ni sukari asilia ya miwa isiyokuwa na mchanganyiko wowote. unaponunua tamu kama mtumiaji unakwenda kufurahia sukari halisi ya miwa.
UJAZO
Tamu Sukari inapatikana katika ujazo tofauti tofauti wa:
- 1kg
- 5kg
- 25kg
Unaweza jipatia Tamu Sukari madukani popote Tanzania, kwa mawakala wetu au kupitia tovuti hii, nasi tutahakikisha tunakufikishia bidhaa popote ulipo.