Tamu Lishe
Tamu lishe ni unga bora wa uji wenye virutubisho muhimu ambavyo husaidia ukuaji wa ubongo, huimarisha mifupa,huongeza hamu ya kula huongeza uzito,na kuimarisha kinga ya mwili.
Tamu Coffee
Kahawa bora kabisa iliyotengenezwa kwa kahawa asilia ya viwango vya ubora uliotukuka, na ndio maana tunasema Tamu Coffee ni Premium Organic Gourmet,
Tamu Sembe
Unga wa Tamu Sembe ni unga bora kabisa wa mahindi, unaondaliwa kwa ustadi mkubwa, kufungashwa na kusambazwa na waandaaji na wasambazaji mahiri wa bidhaa za nafaka Tanzania, Tamu Industries.
Tamu Ngano
Unga wa Tamu Ngano ni unga bora unaotokana na Ngano safi asilia inayozalishwa, kuandaliwa na kufungashwa kwa ustadi mkubwa. Tamu Ngano ni unga wenye ladha ambao unaweza kutumia kutengenezea bidhaa zote za ngano.
Tamu Sukari
Tamu Sukari ni sukari asili na halisi ya miwa, sukari hii inaandaliwa na kufungashwa na wazalishaji na wasambazaji bora kabisa wa bidhaa bora za nafaka, Tamu Industries.
Tamu Mchele
Tamu Mchele ni mchele wa Mbeya, mchele bora na mtamu unaoandaliwa na kusambazwa na Tamu Industries, kwa mahitaji yako ya mchele Tamu Mchele ni chaguo lako namba moja.